Header Ads

Bahati - Ndani Ya! | Download


Bahati - Ndani Ya! 

Leo Tuko na Wimbo Mpya Kutoka Kwa Msanii Bahati, Huyu ni msanii Maharufu sana wa Nyimbo za Injili Hapa Nchini Kenya leo katuletea Kazi yake Mpya kabisa, inaitwa "Ndani Ya!". 
Picha ya Bahati

Wimbo huu Umeandikwa na Kurekodiwa ndani ya Lebal yake ijulikanayo Kama EMB RECORDS, EMB kwa undani ni ESLANDO MOST BELOVED  Alie unda Beats na Masauti Kwa wimbo huu ni Producer Shazbaro. 


Bahati Sio Msanii Mgeni kwenye Mziki Ako na Nyimbo Kathaa Tazama Hapo chini Nyimbo Za Msanii Huyu. 
  • Bahati - 10/10
  • Bahati - Barua
  • Bahati - Mama 
  • Bahati - Isiwe Ivyo
  • Bahati - Nikumbushe ft Rayvanny
  • Bahati - Ching Ching
  • Bahati - Lover
  • Bahati - Mapenzi
  • Bahati - Visa
  • Bahati - Maria
  • Bahati - Diana
  • Bahati - Nipende ft Devid Wander 
  • Bahati - Ndogo Ndogo ft Mr Seed
  • Bahati - Kuchu Kuchu ft King Kaka & Wyre
  • Bahati - Itakua Sawa
Nazinginezo,  sasa pakua wimbo huu Na Utazame Video Hapa chini.


VIDEO

No comments: